NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,273
Nimetengeneza app ya kuangalia African music & comedy videos, hua napenda kuangalia african music lakini app ya youtube hua inaniangusha sana kwa kua kuna features nahitaji lakini haina, kwa hiyo nimeamua nitengeneze app yangu mwenyewe yenye basic features nazohitaji, natafuta watu wa kuifanyia testing hii app kwanza kabla sijairuhusu store. Tofauti ya hii na Youtube ni nini?
Size ndogo, 3MB peke yake
Kwanza unaweza kuangalia videos hata kwenye background, youtube ukitaka kufungua app nyingine inajifunga, hii itakua na ka-window unakoweza kuza size unavyotaka, inaplay huku unafanya mengine.
Pili ni videos zote za wasanii unazozipenda katika sehemu moja zikiwa na lyrics (mashairi) yake hapohapo, unaweza kutengeneza playlist unavyotaka anytime.
Pia utapata notifications ya wimbo mpya kutoka kwa msanii yoyote yule unaye-mfollow.
Unaweza pia mtumia rafiki yako dedication ya wimbo wowote ule kama ana app atapata notification na ataweza ku-tap na kuucheza.
Na features nyingine kibao. Download ujaribu,
Download kwa kuclick hapa https://dl.dropboxusercontent.com/s/dk535g035bgn8m5/PlayAfricaProduction-1.apk?dl=0
Hii ni APK ya original app, kuinstall APK ni tofauti kidogo na app store,, ukiishaidownload, kama ukiweka install inagoma, itabidi uruhusu kudownload from other sources, kwa hiyo itakulazimu kuclick settings alafu utap "allow from unknown sources" ukishainstall rudi settings uifunge japo simu nyingi zinafanya hii automatically kwa kuallow mara moja tu.
Tester yoyote aliyefanikiwa tupia comments zako hapa chini.
Screenshots zake ni kama unavyoona hapa chini