Natafuta simu Microsoft/Nokia 215 NITAPATA WAPI

CompaQ

JF-Expert Member
Dec 31, 2012
281
134
Habarini
wanajukwaa natafuta simu hiyo madukani MICROSOFT/NOKIA 215.

je kuna mtu anaweza kuwa anafahamu mahali ilipo katika maduka mjini.
iwe Dar ama Arusha.
msaada tafadhali.

shukrani
 
upo aware hio simu ni s30 na sio s40?
usitegemee kueka app zako za java kama ucweb na app nyengine utakazozikuta ni almost hizo hizo.

wacheki midcom hawatakosa wao ndio wanaozileta.
 
Back
Top Bottom