Habari wakuu, natumia TECNO j5 naomba kujua network security key naweza kuipata wapi kwenye simu, maana rafiki yangu ameshindwa kuaccess wireless kupitia simu yangu kwa sababu ya hizo passwords Natanguliza shukran
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.