Innocizy
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 1,736
- 1,049
Habari wakuu.
Juzi Kati nilipeleka simu kwa fundi kubadili system charge na akabadili. Ila baada ya hapo simu imekua inapoteza Sana mawasiliano yaaani unakuta line haisomi kana kwamba hakuna mnara sehemu hiyo wakati zamani ilikua inasoma.
Shida yangu naomba kujua tatizo hapo litakua ni nini ili nikiirudisha kwa fundi isichokonolewe kwingine kusikohusika.
Nimeformat lakini bado tatizo liko palepale.
Nashukuru kwa msaada wenu.