Wnadau natumia tecno phantom A 111. Kila nikitaka kudowload application zingine au kuupdate zilizopo inaniandikia insufficient storage. Chaajabu ni kuwa Ram used ni 782 na available ni...
My name is Joseph Masaga from Msg-Technologies. A business Company I have stated to deal with different aspects starting with IT (Information Technology) issues.
Msg has designed tax estimators...
Wadau habari. nina modem ya hsdpa, iko vizuri kwa kweli na ni multipurpose ila tatizo kila nikitaka kuongeza salio au huduma za vifurushi inaniambia confirm ussd feature, nawezaje kutatua hili...
Nadhani neno computer virus si jambo geni kwako. na kama unatumia computer basi utakuwa tayari umeshakutana nao. kuna njia nyingi sana ambazo virus huthumia ili kuingia kwenye kifaa chako baadhi...
Bugatti unveiled their new hyper-car Chiron at the Geneva motor show. The car manufacturing company revealed that only 500 of these are set to be released. The car boasts an 8 liter, 16...
Mara nyingi nimekuwa nikitembelea website za vyuo na taasisi mbalimbali za serikali za Tanzania.
Bahati mbaya website hizi huwa zina mwonekano mbaya sana ukilinganisha na taasisi nyingine za nje...
Najua kila siku unatafuta maisha hapa na pale. Kwa wanafunzi wanaochimba ujuzi wana hamu ya ujuzi, kwa wafanyabiashara wana hamu ya kuchuma fedha, kwa watumishi wa serikali wana hamu ya kuhudumia...
Heshima kwenu nyote,
Poleni na majukumu, kuna mtu humu alipost kitu ili kuzuia usumbufu kwenye simu,alsema unaminya *002*007#.mimi nmejaribu na line imejilock mpaka sahiz nashndwa ku...
Heri kwenu wanabodi.
Siku za hivi karibuni katika pita pita zangu mitandaoni nikaona hizi machines za kubadilisha/kusaga vitu vya plastic (mostly ni aya masalia ya plastic) kuwa mafuta ya...
Ninaomba kujua kama destop computer ina Wifi? Na kama ipo iko sehemu? Mfano kwenye kwenye kompyuta mpakato huwa kuna alama ukibonyeza tu inawaka na kuendelea kutumia,lakin kwenye desktop computer...
Ninaomba msaada kwenye labtop yangu aina dell,nikiplay musics haitoi saut ila mwanzo ilikua inatoa sauti vizuri tu,inatumia window 7.Shida ya pili ni kwamba ile coursor haitulii inakua...
Simu yangu imekufa system charger na sitaki kuingia gharama za kuipeleka kwa fundi kwa kuwa mwezi ujao nataka ninunue simu nyingine so nilikuwa nahitaji kufahamu kama kuna kobe za kuchajia betry...