structuralist
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,230
- 907
Wnadau natumia tecno phantom A 111. Kila nikitaka kudowload application zingine au kuupdate zilizopo inaniandikia insufficient storage. Chaajabu ni kuwa Ram used ni 782 na available ni 185,internal storage used ni 0.96 na available ni 29mb lakini phone storage total space ni 12.56gb na available ni 10.81gb. Sasa najiuliza mbona kuna space kubwa kwenye phone storage ambazo naweza weka hata series flani lakini nikidownload application ya mb kadhaa tu inagoma? Msaada waungwana katika kutambua tofauti ya hizo storoge na nifanyeje kupata space ya kudownload applicatin zingine?
Hapo kitamo kidogo nilikuwa na applications nyingi kuliko leo kwani kwa sasa ni kamer 360(62.38mb),facebuk (43.80),snaap tube(8.31mb) whatsapp (50.97) WPS office(50.49mb) opera min(2.79) gmail(20.60mb) Maps (49.48mb) google appl(53.23) google play service (99.23mb) google play store(22.99mb) hangouts(34.99mb) UCbrowser(8.31mb) youtube (25.27mb) flash share(8.21mb) Palmchat (8mb) go keyboard(7.60mb) carlcare (364kb). Naombeni msaada wakuu