Ninaomba msaada printer tajwa hapo juu,inakua inatoa meseji hii"59.40 ERROR" kuna wakat inaprint ila kuna wakati inatoa hiyo sms,tatizo ni lipi wakuu,msaada tafadhali ili niondoe hilo tatizo.Asanteni
Nina laptop aina ya samsung notebook nlikuwa cjaiwasha kwa muda wa mwaka mzima . Sasa jana nliwashaa ikawaka vzuri tu lakin keyboard imegoma ku type naombeni msaadaa wenu wadau nifanyeje...
hbr!naomba msaada juu ya kunlock huawei e173-1` nimejaribu kila njia ila zina unlock ila inakaataa tena another simcard na ikifuata hizo tool inakuambia tena locked.\
Sabakher Wadau;
Ningependa Kujifunza Programming! Ila Sina Hata Moja Kichwani! Nina Pc Yangu Najua Tu Basic Matumiz!! Naomba Uniambie Nianze Kusoma Nin? Nifanye Nin? Material Nitapata Wapi? Asanten
Wataalamu wa haya mambo nahitaji msaada wenu katika ili nahitaji kupata huduma hiyo ila sitaki kila mwezi kulipia nahitaji huduma ya lifetime nikifunga nimefunga nakusahu na yenye chanels nyingi...
Habari wanajukwaa kama kichwa kinavyijieleza kuwa nina lapotop yangu aina ya samsung notebook sijaitumia kwa muda wa miezi kama tisa hivi sasa jana nimejaribu kuiwasha bt haiwaki nimejaribu...
Muziki una sehemu kubwa sana katika maisha yetu. Mara nyingi tunasikiliza miziki tunayoipenda ili kujiridhisha na kupata faraja ya moyo. [ 384 more words. ]
App 5 Bora Za Android Kwa Ajili Ya...
Naomba msaada wa kujua simu lg g3 orginal ntaijuaje. Nipo kahama nimeuliza duka la simu lakwanza nimekuta lg g3 1, 000, 000 . duka la pili 780, 000, nikaenda la tatu 900000 wapi itakuwa original
Salaam wakuu.
Nimekuwa nikitumia browser kama Mozilla na Chrome PC yangu lakini kwa sasa hazifungui page yoyote sjui kwa nini.
Natumia simu kupata internet kwa kufanya usb tethering kwenda kwa...
Salaam wadau.
Hope mko salama kabisa. Well, kama mada inavyojieleza nilikuwa natumia Lucky Patcher kufanya In App Purchase ila siku hizi inakataa sjui kwa nini.
Kuna hii freedom inahitaji root...
Habari za wakati huu wana JF.
naomba mwenye ufahamu na hizi processor zinazotumika kwenye mobile phones zetu atuambie ubora wake tofauti na nyingine mfano snapdragon 200, S4, 400 etc. ARM na...
Motherboard ya CPU tajwa imeharibika na nahitaji kuibadili Mpya, ambaye anaweza nisaidia kwa alie Kariakoo au anajua duka wanapouza hizi motherboard anielekeze