Yahusu utengenezaji wa katuni video

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,240
1,794
kwa wale wataalam wa maswalwacartoon animation mnipe darasa napenda kutengenea ka vile ubongokids wanavyofanya shule tafadhari!
 
Cha kwanza zipo programs nying za kutengenezea, lkn inahitaji time kubwa hata umalize. Cha kufanya downloadprogram inaitwa pencil unaweza kuipata hata www.softonic.com
Halafu utainstall na utatumia fresh
 
Back
Top Bottom