Msaada wa namna ya kutambua simu lg g3 original ,

tiku

JF-Expert Member
Oct 31, 2015
441
257
Naomba msaada wa kujua simu lg g3 orginal ntaijuaje. Nipo kahama nimeuliza duka la simu lakwanza nimekuta lg g3 1, 000, 000 . duka la pili 780, 000, nikaenda la tatu 900000 wapi itakuwa original
 
Duh...apo ndo huwa kuna kazi...em tuma imei tcra japo cna uhakika sana....af angalia specs gsm arena uone kama hyo dukani na ya gsm arena zina match...mi nnayo g3 mini..nilifanya hvyo
 
google imei checker then ingiza imei namba itakuketea specifications za hiyo simu na kama n mchina itakuandikia pia hyo imei haipo
 
Hapo huwezi weka cpu z kwenye simu ambayo bado ipo dukani sio yako so chakufanya ina bidi uwe na simu nyingine ambayo ita kua na app inayoitwa imei analyzer ambapo utachukua imei za simu unayotaka kuinunua then unaziingiza hapo kwenye imei analyzer then itakuleta jina la simu na model namba na pia itakuambia if the imei is valid so majibu ya analysis utacompare na jina na model ya simu unayoinunua kama haviendani basi ni fake
 
njia ya kuangalia imei si 100% sahihi, je kama clone imeekwa imei original?
 
Ukisema hivyo inamaana hata tcra hawapo sahihi maana wanatumia njia ya imei kubaini simu original na fake
 
Mm nazani huwezi pata imei ya simu original ya samsung wakati wao samsung ndio wanagawa imei kwenye simu zao sidhani kama unaweza ukawa na imei ya simu original kwenye clone
 
Pia nazani ili uweze kuchange imei ni lazima hiyo simu iwe na processor ya mtk then utumie mobile uncle au mtk engineering mode
 
Mm nazani huwezi pata imei ya simu original ya samsung wakati wao samsung ndio wanagawa imei kwenye simu zao sidhani kama unaweza ukawa na imei ya simu original kwenye clone
hebu nenda sehemu wanazo unlock simu open uone ni jinsi gani ilivyo rahisi kupata imei za watu. website 1 unaweza jinyakulia maelfu ya imei.

pia hizi imei zimekaa kimfumo yaani ukipata imei 1 ya s6 basi unaweza generate imei nyengine za s6
 
Msaaada na mm natumia lg g2 ila nikiangalia imei no haiji, ama kuna njia nyengine ya kuulizia imei no,
 
huwezi kutumia simu bila imei sababu network haipandi mpaka kuwe na imei.

-bonyeza *#06# halafu piga
-au nenda setting then about then status utaikuta huko
 
Naomba msaada wa kujua simu lg g3 orginal ntaijuaje. Nipo kahama nimeuliza duka la simu lakwanza nimekuta lg g3 1, 000, 000 . duka la pili 780, 000, nikaenda la tatu 900000 wapi itakuwa original
Adi laki6 unapata
 
Nilikuwa nayo original sema ikaharibika charging system sahv nina s6
 
Waambie wakuwashie ikiwaka piga screenshot, (kitofe cha kuwasha simu pamoja na button ya kupunguza sauti) nenda kwenye gallery angalia details za hiyo picha hakikisha resolution ni 1440x2160 kama sio hiyo feki
 
Back
Top Bottom