KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,160
- 5,741
Salaam wakuu.
Nimekuwa nikitumia browser kama Mozilla na Chrome PC yangu lakini kwa sasa hazifungui page yoyote sjui kwa nini.
Natumia simu kupata internet kwa kufanya usb tethering kwenda kwa PC na simu ina bundle ya kutosha tu lakini bado inakataa kufungua.
Kwenye laptop inaonesha kuwa internet ipo na kuthibitisha kuwa internet ipo kuna baadhi ya pop ups zinatokea nikishafanya tethering, sasa najiuliza tatizo hata sjafaham ni nini.
Natanguliza shukran kwenu nyote mtakaonisaidia.
Thanks a lot.