msaada kuhusu CPU za simu.

God'sBeliever

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
5,788
3,028
Habari za wakati huu wana JF.
naomba mwenye ufahamu na hizi processor zinazotumika kwenye mobile phones zetu atuambie ubora wake tofauti na nyingine mfano snapdragon 200, S4, 400 etc. ARM na Cortex A7. na nyinginezo.
Pia wale wa kwenye computer AMD na Intel hawajawezeka kwenye simu?
 
Back
Top Bottom