The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,124
- 1,459
Window 10 hana mpinzani nakushauri ewe mwana JF weka window 10 kwenye PC yako hakika hautajuta milele.
Nitapata wapi cd ya window 10 na kwa shilling ngapiwindow 10 hana mpinzani nakushauri ewe mwana jf weka window 10 kwenye pc yako hakika hautajuta milele
Windows ten nimesha piga chini nimerudi 8.1window 10 hana mpinzani nakushauri ewe mwana jf weka window 10 kwenye pc yako hakika hautajuta milele
me ninayo mkuu wewe uko wapi??Nitapata wapi cd ya window 10 na kwa shilling ngapi
daaah amini window 10 ni bora kuliko 8.1Windows ten nimesha piga chini nimerudi 8.1
Najua sana..ila inaniangusha kwenye gaming sipati performance kama za kweny 8.1daaah amini window 10 ni bora kuliko 8.1
Nipo dar maeneo ya ukongame ninayo mkuu wewe uko wapi??
windows 10 ndio yenyewe kwa gaming angalia drivers zakoNajua sana..ila inaniangusha kwenye gaming sipati performance kama za kweny 8.1
Mashine iko full direct x , nvidia drivers ziko updated , Redistributable Package zote ndani but probably kwakua nmezoea sana 8.1 ndio mana nahic kuna tofaut na 10 but kwasasa acha tu niipe Window 10 miez kazaa mbele ikiwa stable enough nitakuja kurudi tu.windows 10 ndio yenyewe kwa gaming angalia drivers zako
Nitapata wapi cd ya window 10 na kwa shilling ngapi
kama aziendani na window 10 azitaonekana after Ku upgrade hla zikiendana zitabaki hila nawasi wasi na antivirus yako kutofanya kazi kwa asilimia kubwa hii Ni kutofikia kua kwenye window 10Nina pc ilikuja na window 8 nikaweka window 7, kila mara inanipa taarifa ya upgrade to window 10, nahofia software zangu kama zitafanya kazi maana nimezipata kwa ghalama. Mfano autocad na antvirus
baadhi ya games za direct x12 kuna cpu zimepata boost ya perfomance hadi asilimia 250. kama gpu yako inasuport direct x12 windows 10 ni must have hadi pc zenye pentium na celeron zimekuwa powerfull,Mashine iko full direct x , nvidia drivers ziko updated , Redistributable Package zote ndani but probably kwakua nmezoea sana 8.1 ndio mana nahic kuna tofaut na 10 but kwasasa acha tu niipe Window 10 miez kazaa mbele ikiwa stable enough nitakuja kurudi tu.
Nibure hiyo Windo 10 just upgrade from your PC usidanganyike ukauziwa wakati ni bure!Nitapata wapi cd ya window 10 na kwa shilling ngapi
AutoCAD 2016 pekee ndo inayokubali kufanya kazi kwenye windows 10, matoleo mengine yote vimeo.Nina pc ilikuja na window 8 nikaweka window 7, kila mara inanipa taarifa ya upgrade to window 10, nahofia software zangu kama zitafanya kazi maana nimezipata kwa ghalama. Mfano autocad na antvirus
Windows 10 ni bure! just download freely. Bado ipo kwenye majaribio na offer. baadae itauzwa.Nipo dar maeneo ya ukonga
Umejaribu njia ganMimi natumia window 8.1 ila nataman ku upgrade kwenda window 10 tatizo ni hii window 8.1 haipo activated...nimejaribu njia kadhaa za kuactivate nimeshindwa msaada wakuu...ili na mimi ni enjoy hiyo window 10