Ni App Gani Nzuri Kwa Ajili ya In App Purchase Lucky Patcher Inataka Root.

KIOO

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
6,227
5,846
Salaam wadau.

Hope mko salama kabisa. Well, kama mada inavyojieleza nilikuwa natumia Lucky Patcher kufanya In App Purchase ila siku hizi inakataa sjui kwa nini.

Kuna hii freedom inahitaji root process na hata Lucky Patcher pia nayo hivyo hivyo. Sasa kama kuna App yoyote nzuri naomba tu-share hapa pamoja wakuu.

Thanks You So Much.
 
haiwezekani bila root,

Dah, thanks blood sjui kwa nini nimekuwa nikiogopa ku-root simu. Hakuna App nyingine isiyohitaji root mkuu...?.

Kuna app ambayo unaweza ku-root easily na ku-unroot at the same time kiongozi...?.

Thanks broh.
 
kama unaogopa kuroot achana nayo sababu root ina matatizo mengi hasa kama hujui unalofanya.

na bila root app haiwezi kumodify process za app mwenzie.

na pia hata ukiwa na root sio 100% freedom/lucky patcher zitafanya kazi kwenye in app purchase, zinaweza kukataa pia
 
Thanks a lot brother. Nafkiri watakuwa wameifanyia kitu flani hivi Lucky Patcher coz mwanzo niliitumia bila simu kuwa rooted na ilikuwa ikikubali lakini hapa nyuma ikaanza kugoma.

Thanks a lot blood.
 
Mm natumia Lucky patcher kwenye unrooted Device... Pia depends na hiyo Application yenyewe Sio Apps zote zinakubali kwa Lucky patcher with uprooted Device...
 
Badoo mkuu vipi kiongozi...?.
 
Back
Top Bottom