Faida na hasara za kuroot simu..

Faida na hasara za kuroot simu..

Senator jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2016
Posts
368
Reaction score
498
Wakuu tujadili na hapa ..Mi naona root acces si kwamba tu unapata uwezo mkubwa wa kuicintrol simu yako ikiwa kama kuweka custom roms na kuinstal some apps bomba..Ila Hasara yake kubwa inawapa urahisi hackers uwezo wa kuistall virus wengi kwenye simu matangazo ya kijinga.. Simu kuwa nzito noma sana Nawashauri wana jf msi root simu zenu kama custom rom si lazima bhana ni kama tu kubadili window kwenye pc sioni thamani kama sio kuua tu simu..
WANA JF WEKENI UZOEFU MWINGINE WAKUROOT NA MAONI YENU WAKUU
 
Hakuna chenye faida kikakosa hasara mkuu. Watu naroot ili kuipa uwezo zaidi cm mfano kunabaathi ya programms huwezi kuweka kwenye cm yenye android version 2.2 inaanza version 4.xx hivyo mtu anaona bola aroot ili awezeshe cm yake.
App nyingine kama blackmart yenyewe inadownload app ambazo ni zakulipia bure lakini mpaka cm iwe rooted kwahiyo mtu anaona aroot ili afaidi.
 
Simu nyingi za saiv ziko latest hata hivyo simu nyingi ni cheap sana mkuu..
 
Back
Top Bottom