Whatsapp adds end-to-end encryption

Northern Lights

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
395
358
Kampuni ya Whatsapp ikishirikiana na "Open Whisper Systems" wameongeza update mpya itakayofanya mawasiliano kati ya watu wawili kutoweza kusomeka na watu wengine ( serikali au waajiriwa wa whatsapp).

"WhatsApp has added end-to-end encryption to all of its messages – meaning that the company couldn't give information to governments, even if it wanted to.
That fact has meant that strong, or end-to-end, encryption has led to public disagreements between technology companies and governments. In the UK, politicians have proposed banning such technologies, forcing companies to install "backdoors" that would weaken that security so that messages can be read by spies.
The latest version of the app will use security technology that means that messages can't be intercepted as they travel between devices. Encryption ensures that only a message's sender and recipient can read messages, stopping them from being intercepted on their journey."

Je hii inamaana gani kwa Cybercrime law ?

Source:http://www.independent.co.uk/life-style/gadgets-and-tech/news/whatsapp-update-encryption-end-to-end-messages-security-government-privacy-a6970101.html
 
kama mpaka sasa hawajaweza kudhibiti mijadala ktk ma-group ya WhatsApp pamoja na kupitisha ile sheria ya cybercrime,sidhani kama wataweza kufanya chochote kwa application mpya zijazo za WhatsApp.

Kweli kbs maana kuna magroup yana mambo ya kishetani balaa lkn miaka inaenda yako tu
 
Hehehe Jaribu uone

siwezi kujaribu mkuu, kuna mataifa linapokuja suala la usalama watafanya kila jitihada kupata wanachokitaka. Hii technolojia huenda tu ikachelewesha zoezi ila wataweza tu kuzifungua hizo sms au mawasiliano.
 
Ukitaka kujua kama wanaweza ku decrypt tuma, sms za kuweka usalama wa Marekani mashakani.
swala la usalama wa taifa la marekani ni agenda kuu ya Taifa hilo,hivo basi hata WhatsApp wenyewe wakiona una- impose threat wanaweza waka provide info zako kwa mamlaka husika bila hata kushurutshwa

ni tofauti na hapa bango,ambapo mtu moja mwenye nguvu kubwa serikalini,anaweza tu akakurupuka kushinikiza sheria fulani ipitishwe(hata kwa hati ya dharula)ili tu kudhibiti mjadala wa jambo fulani ambalo yeye ana maslahi nalo.
 
kama mpaka sasa hawajaweza kudhibiti mijadala ktk ma-group ya WhatsApp pamoja na kupitisha ile sheria ya cybercrime,sidhani kama wataweza kufanya chochote kwa application mpya zijazo za WhatsApp.

Labda TCRA watakuwa wanakodi waisrael kama kutakuwa na ulazima
Unaibiwa sim una report mpaka na namba ya mwizi aliekuibia unayo, unajiongeza mpaka na picha yake ushawahi kuinyaka wasap. Ukafatilia fatilia polepole sim yako ulieka find my phone ukajua maeneo kadhaa ambayo kabla ya kuflash sim alikuepo.
Ila kuanzia TIGO mpaka TCRA hakuna anaejisumbua kusaidia wote wanakuzungusha tuu na kukuambia usijitie kujua. ......
Sijui kama la cyber crime wataweza. Hapa yenyewe tayari kuna mtu kanitumia kakitu kabaya ila nimekafungua bila hata kunepwa na mshipa ..
 
TCRA sijaona kazi yake kwanza si juzi tu wametumia 18B kusomeshana sasa walikuwa wanasomeshwe mbinu za kuchati ?
 
Back
Top Bottom