Tatizo la external speakers kwenye TOSHIBA PORTEGE R830

jose mjasiriamali

JF-Expert Member
Sep 17, 2014
1,757
1,571
Wadau natumai mu wazima,
tatizo ni kama linavyojieleaza hapo juu, nimejaribu kuenda kwenye control panel, mashine ina detect external speakers na inaonesha ipo active lakini nikiplay hakuna sauti inayotoka, naweza kutumia speaker za mashine pekee,ila kipindi cha nyuma niliweza kuchomeka external speakers na zikafanya kazi. msaada wenu wakuu
Screenshot (111).png
 
Restart computer au zima (shutdown ) alafu washa tena mbalinna hapo zisipofanya kazi basi itakuwa hardware tatizo hilo usababishwa na operating system kama haikujipanga vizuri wakati unawasha pc ,pia unashauliwa kuwa unapowasha pc isubiri mpaka i respond yenyewe jaribu nilivyo kuelekeza
 
Sijui kwanini Toshiba nyingi huwa na matatizo kwenye sound system na volume Yake huwa ndogo...

Anyway yakwangu iliwah kuna na tatizo kama hilo LA gafla tuu haitoi sauti

Ikiwa na tatizo kama hilo huwa nafanya kama nachomeka earphones na kuchoma then inapiga kama kawaida.
 
mkuu nimejarbu bado naona hakuna mabadiliko
 
Sijui kwanini Toshiba nyingi huwa na matatizo kwenye sound system na volume Yake huwa ndogo...

Anyway yakwangu iliwah kuna na tatizo kama hilo LA gafla tuu haitoi sauti

Ikiwa na tatizo kama hilo huwa nafanya kama nachomeka earphones na kuchoma then inapiga kama kawaida.
inawezekana hiikampun hawako vizuri upande huu ukilinganisha na dell na nyingine
 
Ktk sound setting iwe ya system or player diseble dolby or any sorround sound
 
Back
Top Bottom