Karibu wiki ya pili sasa napata shida hii. Kwa mfano nakuwa net nipo naperuz JF nikitaka kufungua tab mpya inatokea site nyingine kabisa mfano nakuta imefunguka site ya alibaba, flirchi, Meet local singles.
Inanikera sana hii naomba msaada namna ya kudhibiti jambo hili, napata tatizo hili ninapokuwa natumia laptop. Natanguliza shukrani
Wasalaaam
Inanikera sana hii naomba msaada namna ya kudhibiti jambo hili, napata tatizo hili ninapokuwa natumia laptop. Natanguliza shukrani
Wasalaaam