Simu yangu nikidownload App inadai imejaa

Jaribu kuamisha app zako kutoka kwa memory ya cmu kwenda kwende Sd card au memory card....mfano whatsapp...fb....opera...

Au punguza app ambazo huzitumii pia kwenye ambazo hazina umuhimu kwako
 
Jaribu kuamisha app zako kutoka kwa memory ya cmu kwenda kwende Sd card au memory card....mfano whatsapp...fb....opera...

Au punguza app ambazo huzitumii pia kwenye ambazo hazina umuhimu kwako
Nami nina shifa hiyo... kama inawezekana kuhamishia vitu vingine kwenye sd card kwanini isiwezekane kuiweka hiyo app mpya kwenye sd card?
 
Ram kama imejaa basi ujue hutoweza kuongeza app mpk upunguze app zilizo kwny cmu....internal memory haihusiani na app
 
Back
Top Bottom