Naomba kujua namna ya kudownload video toka wapbom

Linamo

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
9,976
24,494
Wakuu msaada nataka kudownload clips lakini nashindwa kudownload
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Tayari mkuu
I hope inakuwa automatic youtube loaded...so cha kufanya kwenye hyo bar nyekundu ya youtube search hapo wapbom...yhen utafute hzo clips za wapbom unazozipenda afu pale juu utaona download arrow then utamaliza kudownload tu
 
Back
Top Bottom