Msaada:Computer inaandika Program not responding

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,249
1,813
Jamani wale wenye uwezo wa kugundua tatizo hili linasabishwa na nini mnipe maujanja kuna pc hapa kila uki chagua programu na ku click inasema this program not responding nimetest kuiscan no virus detected nimetest maujanja yangu na kubadilisha window na kuapdate driver by using driver pack solution tatizo halitibiki help me please
 
Back
Top Bottom