kim jung shik Senior Member Mar 26, 2014 129 23 Apr 7, 2016 #1 Jamani ninahitaji kuangalia videos na picha zilizopakuliwa na bluestak huku bluesatk ikiwa off nifanyaje please!
Jamani ninahitaji kuangalia videos na picha zilizopakuliwa na bluestak huku bluesatk ikiwa off nifanyaje please!
Senator jr JF-Expert Member Apr 3, 2016 367 496 Apr 7, 2016 #2 Hujaekeweka bado unataka kuangalia pic kupitia njia ya bluestack au njia ya window mkuu
God'sBeliever JF-Expert Member Sep 1, 2015 5,788 3,028 Apr 7, 2016 #3 naskia hiyo app inafanya pc inakua slow??