Google play inaleta error pop up

SangaweJr

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
2,986
2,664
Wana jukwaa msaada kidogo hapa kila nikitaka kupakuwa app kutoka play store napata ujumbe huu.

Niliyo yafanya kabla sijaja hapa kuomba msaada nime
-clear cache
-Clear data
Lakini bado tatizo lipo.
Mwenye uelewa jinsi ya ku slove hii ishu.

Mrejesho:
Baada ya kuona nasumbuka na hilo tatizo ilinibidi ni Restore simu ianze upya. Tatizo limekwisha.
 

Attachments

  • 1460048967994.jpg
    1460048967994.jpg
    42.3 KB · Views: 26
mkuu km hiyo cmu ni tecno camon c8 au c5 fanya update kwanza ya firmware coz inaonekana bado hujafanya hicho kitu.
 
Back
Top Bottom