Senator jr
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 368
- 498
Naombeni mrejesho hapa mi naona ina kula spec tu
Kivipi kakaUnapunguza ram na space kwenye simu yako tu
Achana na huo uchafu..Kivipi kaka
Unashauri itumike IPI kusaidia Au hamna hajaAchana na huo uchafu..
U naongeza space zisizo na maaana..
Kaa mbali na hizi apps..
Du battery booster.. sijui.. Clean master... Battery doctor...
Zinakula sana charge,, zinarun 24/7..
Kusaidia nn mkuu..?Unashauri itumike IPI kusaidia Au hamna haja
Ku boost Simu maana nilidhani clean master inasaidia Simu kuwa faster Au ????[emoji35]Kusaidia nn mkuu..?
Sijakusoma hapo
Si kila application inayosema ni install ni install ni beneficial kwako zingine ni majipu tu kazi kuifanya simu kuwa ya moto 24hrs so achana nazoAchana na huo uchafu..
U naongeza space zisizo na maaana..
Kaa mbali na hizi apps..
Du battery booster.. sijui.. Clean master... Battery doctor...
Zinakula sana charge,, zinarun 24/7..
Tuelekeze hiyo namna ya kuclear cache manually na kuhide apps.unaweza uka Clear cache manually mkuu achana na huo uchafu wa Du Booster sjui..
Pia unaweza ukaset android yako background apps zisiwe nyingi maana zinapo kua nyingi zinakula charge balaa
set background app ziwe mbili tu kama mimi, apps nyingine zote unapomaliza kuzitumia zijifunge zenyewe automatically
wanachofanya DU Booster wanaclear cache na kuClose background apps kitu ambacho simu zote zinauwezo huo bila uhitaji wa hawa matapeli sjui DU Booster,clean master,Battery Doctor
Samahani kwa kuchomeka swali, Mimi kwenye phone storage kuna jipu linaitwa thumb linanimalizia nafasi. Nikitaka kulitumbua nashindwa. Nifanyeje?unaweza uka Clear cache manually mkuu achana na huo uchafu wa Du Booster sjui..
Pia unaweza ukaset android yako background apps zisiwe nyingi maana zinapo kua nyingi zinakula charge balaa
set background app ziwe mbili tu kama mimi, apps nyingine zote unapomaliza kuzitumia zijifunge zenyewe automatically
wanachofanya DU Booster wanaclear cache na kuClose background apps kitu ambacho simu zote zinauwezo huo bila uhitaji wa hawa matapeli sjui DU Booster,clean master,Battery Doctor
Mkuu mi natumia HTC desire 625 nisaidie jinsi ya kuset background app zijifunge Au how to clean cache manualunaweza uka Clear cache manually mkuu achana na huo uchafu wa Du Booster sjui..
Pia unaweza ukaset android yako background apps zisiwe nyingi maana zinapo kua nyingi zinakula charge balaa
set background app ziwe mbili tu kama mimi, apps nyingine zote unapomaliza kuzitumia zijifunge zenyewe automatically
wanachofanya DU Booster wanaclear cache na kuClose background apps kitu ambacho simu zote zinauwezo huo bila uhitaji wa hawa matapeli sjui DU Booster,clean master,Battery Doctor
Mkuu njoo toa somo watu wanakuhitaji. Kakaunaweza uka Clear cache manually mkuu achana na huo uchafu wa Du Booster sjui..
Pia unaweza ukaset android yako background apps zisiwe nyingi maana zinapo kua nyingi zinakula charge balaa
set background app ziwe mbili tu kama mimi, apps nyingine zote unapomaliza kuzitumia zijifunge zenyewe automatically
wanachofanya DU Booster wanaclear cache na kuClose background apps kitu ambacho simu zote zinauwezo huo bila uhitaji wa hawa matapeli sjui DU Booster,clean master,Battery Doctor
Samahani kwa kuchomeka swali, Mimi kwenye phone storage kuna jipu linaitwa thumb linanimalizia nafasi. Nikitaka kulitumbua nashindwa. Nifanyeje?
Hizi ni files/folders zinazojitengeneza kwenye memory card au internal storage ya simuHiyo Thumb uliiweka mwenyewe au ilijidownload yenyewe na vp ukijaribu kuuninstall kwenye app manager inakubali au haionyeshi option ya ku uninstall bali inaonyesha DISABLE tu?
Mkuu mi natumia HTC desire 625 nisaidie jinsi ya kuset background app zijifunge Au how to clean cache manual
Tuelekeze hiyo namna ya kuclear cache manually na kuhide apps.
Hizi ni files/folders zinazojitengeneza kwenye memory card au internal storage ya simu
Yap simu yangu nime I root but haya madudu yanazingua mbayambayajipu hilo mkuu limejidownload lenyewe so linakufanyia fitna kwenye simu yako. kama una app ya antivirus kama Avast yenyewe itakwambia kama ni mdudu au la, kama umeroot simu yako kuifuta inaftika fasta