Clear cache via clear data

Rudbway

JF-Expert Member
Jul 14, 2014
293
156
Wakuu habar!
Kuna wakat android phone zetu wnyw tunazpenda sanaaa! Lkn kuna wakat zinaboa, kuna kero nyingi!

But this time, nataka tuwekane sawa juu la kero ya android smartphone zetu pind znapotu-notify kwmb "storage running out" hii husababisha hata baadh ya apps kustuck au kugoma kabsa kufunguka(kufunction), wakat mwngn inakutaka ww mtumiaj kupunguza storage, ku-clear cache au ku-clear data, bnafs nasumbuliwa na hili, nmejaribu kudelete some of files kama videos esp. With 100+ MBs lkn sijafanikiwa, still inanambia storage is running out!

Pamoja na mengine ambayo wataalam mtayaeleza hapa kuhusu solution ya tatizo la simu yng, mkiongozwa na mzizi mkavu, chief na wngn Naomb utofaut wa 'clear cache via clear data'

Nawasilisha
 
Nenda kwenye my files anza kufuta video na picha na audio ambazo sio za muhimu au ambazo unaweza kuzipata kama utube huna haja ya kuziweka.
 
Simu gani unatumia Mkuu? maana sijawahi pata hili tatizo kwenye Android phone zangu zote naonaga huku tu Jf watu wanatatizo hili.

Wazo langu la kukusaidia ni umeshawahi kuclear Dalvik Cache yako kwenye recovery menu?
 
Kama memory ya simu (device memory) ni ndogo lazima upambane na tatizo hili hasa ukiinstall new updates
 
Simu gani unatumia Mkuu? maana sijawahi pata hili tatizo kwenye Android phone zangu zote naonaga huku tu Jf watu wanatatizo hili.

Wazo langu la kukusaidia ni umeshawahi kuclear Dalvik Cache yako kwenye recovery menu?
Mkuu natumia cm moja ya kawaida iv, startimes, na kuhusu kuclear iyo dalvik* cjawah mkuu
 
Dah samahani nilikuwa na akili yangu ya ma custom rom.. Hapo nilimaanisha Cache Partition.. Hii inapatikana kwenye recovery menu ya simu yako.
 
Aanhaaa, iyo recovery inapatkana kwny setting mkuu au? af ina kaz gan pia
 
Wakuu habar!
Kuna wakat android phone zetu wnyw tunazpenda sanaaa! Lkn kuna wakat zinaboa, kuna kero nyingi!

But this time, nataka tuwekane sawa juu la kero ya android smartphone zetu pind znapotu-notify kwmb "storage running out" hii husababisha hata baadh ya apps kustuck au kugoma kabsa kufunguka(kufunction), wakat mwngn inakutaka ww mtumiaj kupunguza storage, ku-clear cache au ku-clear data, bnafs nasumbuliwa na hili, nmejaribu kudelete some of files kama videos esp. With 100+ MBs lkn sijafanikiwa, still inanambia storage is running out!

Pamoja na mengine ambayo wataalam mtayaeleza hapa kuhusu solution ya tatizo la simu yng, mkiongozwa na mzizi mkavu, chief na wngn Naomb utofaut wa 'clear cache via clear data'

Nawasilisha

Clear data
 
Simu gani unatumia Mkuu? maana sijawahi pata hili tatizo kwenye Android phone zangu zote naonaga huku tu Jf watu wanatatizo hili.

Wazo langu la kukusaidia ni umeshawahi kuclear Dalvik Cache yako kwenye recovery menu?
kazi ya dalvik cache ni nn?
 
kazi ya dalvik cache ni nn?
Dalvik ni kipande cha system ya Android inayohusika na kuendesha application za simu. Sasa hii cache inahifadhi data hususani zinazohusu application zote..

Ukiwa unainstall custom rom muda mwingi unashauriwa ku wipe hii ilikuepukana na software conflicts
 
kazi ya dalvik cache ni nn?

dalvik ni virtual machine ya java inayorun application zako yaani hizo apk. na dalvik cache ni cache zake hio VM pale unapoinstall apps na kumodify system cache huekwa ili kupunguza load time.

ila sasa hivi wanaireplace na ART runtime so inapotea tena. sina uhakika kama washaitoa kabisa kwenye version mpya
 
Wakuu habar!
Kuna wakat android phone zetu wnyw tunazpenda sanaaa! Lkn kuna wakat zinaboa, kuna kero nyingi!

But this time, nataka tuwekane sawa juu la kero ya android smartphone zetu pind znapotu-notify kwmb "storage running out" hii husababisha hata baadh ya apps kustuck au kugoma kabsa kufunguka(kufunction), wakat mwngn inakutaka ww mtumiaj kupunguza storage, ku-clear cache au ku-clear data, bnafs nasumbuliwa na hili, nmejaribu kudelete some of files kama videos esp. With 100+ MBs lkn sijafanikiwa, still inanambia storage is running out!

Pamoja na mengine ambayo wataalam mtayaeleza hapa kuhusu solution ya tatizo la simu yng, mkiongozwa na mzizi mkavu, chief na wngn Naomb utofaut wa 'clear cache via clear data'

Nawasilisha

best way kusolve hii issue

1. nenda setting halafu storage iache iload then utelewa simu yako uwezo wake wa storage na kitu gani kinakula storage nyingi.

2. angalia kwenye misc (miscelinious) mara nyingi kunakuwa na mafile ya application angalia app ipi inahifadhi mafile sana pia angalia kwenye video na sehemu nyengine ambapo storage imetumika sana

3. nenda store download es file explorer halafu ingia ndani then tafuta mafolder ambayo hapo juu uliona yanakula sana storage.

mfano uliona whatsapp ndio inakula sana storage utaingia folder la whatsapp.

4. hamisha vitu vyote ambavyo ni media kama vile miziki, video, picha nk toka internal memory kwenda memory card.

ni vyema simu ikawa na free storage zaidi ya 10% ya total storage.

pia kama unaona storage mbili kwenye simu yako basi storage unayotakiwa kufuta vitu ni ile ya kwanza au ile ambayo unaona application zimekuwa installed
 
Ubarikiwe sana mkuu, ngoja nfanye hvyo nitakuja na mrejesho
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom