Msaada wakubwa nilipo install Bluestack kwenye computer niki open tu program neno hilo linatokea kuwa ms-win-core-errorhandling dil1-1-1 is missing please install first natumia window7 64Bit
Wadau ningependa kufahamu kuhusu hizi line za tigo za 4g,je!ukiweka kwenye simu ambayo haina 4g inaweza kushika 3g na kama inashika speed inautofauti na line ya kawaida!
Naomba msaada wapendwa,, natanguliza salam,, ni kweli siwezi kuamisha baadhi ya vitu mfano music au picture kutoka simu ya android mfano tecno bum j 7 kwenda iphone yeyote??,tusaidiane
Salam za jumapili nyote!
Tafadhani sana wadau wa technology naomba kama Luna applications ambazo naweza kuzitumia kufuta NYIMBO NYINGI zailizojirudia kwenye simu au PC anielekeze au anitajie jinsi...
Casting to analogue tv bila gharama.
Salaam wana JF. Jana kutwa nimeshinda kutafuta/kubuni njia ya kutazama download digital content ya simu kwenye tv yangu analogi kwa gharama ndogo (hali ya...
Wakuu napenda kufahamu wapi nnaweza kununua generator ya kuzalisha umeme kwa kutumia upepo (Windmill generato) angalau 200 watts .. na bei yake.
Natanguliza shukrani
Wadau-simu yangu ni Tecno L5 nikipokea picha, video au document inanibidi niangalie mda huohuo. Ikikaa dakika zaidi ya 10 nikitaka kufungua haifunguki inakuwa kama imeliwa na virus. Hi
Naomba ushauri
Kama umepakua programu ya QuickTime kutoka Apple kwenye kompyuta yako ya Windows unashuriwa kuiondoa mara moja
Watafiti mbalimbali wa mambo ya kiusalama wa kimitandao wamegundua ni rahisi sana...
Habari wanaJF
Kwa bahati mbaya nimefuta Chanel zote za tanzania kwenye Receiver yangu hivyo sipati tena chanel za hapa nchini, hivyo basi naomba msaada kwa mtu mwenye frequency za ITV, TBC...
Heshima kwenu wakuu. Nina tatizo kwenye simu yangu ninaomba msaada wenu. Ninatumia simu ya Sony Xperia L (C2105). Ni miezi minne sasa device hii inashindwa kutoa sauti kama ilivyokuwa mwanzoni...