Jinsi ya kufuta nyimbo nyingi

kaburu mdogo

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
567
400
Salam za jumapili nyote!
Tafadhani sana wadau wa technology naomba kama Luna applications ambazo naweza kuzitumia kufuta NYIMBO NYINGI zailizojirudia kwenye simu au PC anielekeze au anitajie jinsi nitkavyoipata.nashukuru sana kwa msaada
 
Mkuu Mimi sio mtaalamu wa hayo mambo but ninachofanya kwenye PC yangu ni kutengeneza mafolder ambayo napanga nyimbo kutokana na aina yake mfano naweza weka nyimbo za shusho sehemu yake za don Moen sehemu yake halafu zile za zamani naziweka pia sehemu yake kwahiyo nikitaka wimbo Fulani naupata kwenye folder husika so ni ngumu kujirudia...

Ngoja waje wenyewe
 
Back
Top Bottom