Msaada kuhusu kupiga simu kwa njia ya mtandao

Jindal Singh

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
1,857
1,538
Salaamjf

swali: Naweza piga simu (landlines) kwa kutumia modem ya huawei,laptop na headphone kwa kutumia software yeyote ile? hapa sija maanisha VOIP.
 
unamaanisha kupiga simu kawaida? kwa kutumia vocha au dakika? kama ni hivyo inawezekana endapo dashboard yako inasupport.
 
Yap! kama kawaida kwa kutumia pc yaani kwa vocha hizi hizi za dk 9 40sms na 1mb. modem yangu ni huawei ya tigo iko unlocked ivyo natumia airtel.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom