Najua mkuu,, ila sijamanisha ivoo,,soma uelewe mkuuIphone ni Milion 1 na nusu!
Tukua hiyo laki tano andaa banda la kuku
Hiyo milion 1 itumie kununua vifarang!
Hiyo hela milion 1.5 ukiiwekeza kwenye mradi wa ufugaji wa kuku ndani ya mwezi 1 tu utaingiza faida na utakuwa na hela ya kununua iphone os na adroid!