The Hurricane
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 760
- 1,049
msaada wakuu hivi laptop Za Fujitsu lifebook zenye pen calibration huwezi kutumia kidole kama ikitokea pen imepotea
mkuu umesha update kwenda windows 10? kwenye 10 kuna gestures nyingi za vidole zitakusaidia kwenye touch na vidole. ila kuna limitation unaposhika stylus (hio kalamu) huwa automatic os inadisable mguso wa mwili kama kiganja ili ukiwa unaandika au kuchora visiingiliane
pia kkoo zipo kalamu za kichina nyingi tu hazifiki hata 10,000 tembelea aggrey ulizia kalamu za simu kama za galaxy note zinakuwa sio nzuri kama wacom au ntrig lakini zitakusaidia. muonekano wake ni kama huu
inakuwa haina ncha ya kalamu wala sensitive kama hio iliokuja na laptop
pia unaweza tengeneza yako mwenyewe

limitation zipo hasa drivers kwa laptop za zamani, unaitumia hio laptop kwa kazi gani?Asante mkuu..itabidi ni update to windows 10 hope itanisaidia kwa Muda. ..ina limitation gan mkuu
mkuu nina plan hio nikipata muda nitaandika ya 2016Natamani siku moja nikufaham mkuu. Yaani uko deep hadi raha.
Kwenye ule uzi wa smartphone ya bei nafuu unayoweza kununua, ni ya muda mrefu. Vipi unaweza tuchambulia tena za hivi karibuni let say july 2014-2016?
Ninaomba kufaham mwendelezo au maboresho ya simu pia za tecno, au bado ni low class?
Sawa mkuu, usinisahau kwa mention ikiwa tayarimkuu nina plan hio nikipata muda nitaandika ya 2016
ni matumizi ya kawaida tu mkuu gaming surfing na movieslimitation zipo hasa drivers kwa laptop za zamani, unaitumia hio laptop kwa kazi gani?
cheki website ya laptop yako kama kuna driver za graphics za windows 10 au 8ni matumizi ya kawaida tu mkuu gaming surfing na movies
cheki website ya laptop yako kama kuna driver za graphics za windows 10 au 8