Nahitaji kuingiza window kwenye PC yangu inanigomea naomba msaada
Katika boot device menu kuna vitu vifuatavyo
*onboard sata hard drive
,*onboard or USB CD ROM drive
*system setup
*hard drive...
Habari wakuu
Jf imekua msaada kwa watu wengi sana tunao ifaahamu.. Kwakulitambua hilo nami nimeamua kutumia fursa hiyo ila kupata msaada.
Nataka nifungu kaofic kangu kakutengeneza simu, hivyo...
Kutokana na muda wangu kwa sasa, na ujuzi nilionao, nimeona ni vyema nikawawezesha wasio na uwezo wa kumiliki magazeti yao waweze kuyamiliki na warahisishe mambo yao. Iwe biashara au charity, ni...
Wakuu kuna ipad ya apple inaanza kustack au kuwa nzito wakati wa kuperuzi
Hivyo kufanya kufungua page taratibu au wakati mwingine kujifunga wakati unaendelea kuperuzi
Je ni kitu gani cha kufanya...
Habari gani? wadau wa Tech,Gadgets&Science forum.Nimekuwa nikisumbuka saana kuinstall whatsapp katika Laptop yangu inadai kama space ndogo inataka 2GB na nikalidhia nikapunguza mzigo ila bado...
Habari za weekend hii waungwana.
Leo nilipata notification ya system update ya TECNO BOOM J8 ili kufix bugs zilizopo kwenye version ya sasa.
Baada ya kuapkuwa na nilipoanza kuisakinisha (ku...
Habari zenu wakuu?
Mimi najitahidi ku install window 8 kwenye desktop yangu aina ya HP compaq inakusanya mafile ila ikijirestart inakuja error namba 2211 yenye maelezo haya 'Memory not configured...
Simu yangu ya iphone 4s haitoi option ya hotspot ninapoweka laini ya halotel, nashindwa kushare na macbook yangu. Naomba msaada kwa anayefahamu namna ya kupata huduma ya kushare network ktk laini...
Kila ikizima nikisema niiwashe inaandika hivyo na inakaa muda mrefu
Android is upgrading
Optimizing app
1 to 200
Ina loading mda mrefu ndo iwake hata 30 minutes
TECNO_8H
Ina apps nying
Jamani naombeni msaada ndugu zangu kila nikitaka kuangalia movies you tube wananiambia nifuate blue link je naipataje ili niweze angalia hii movie London has fallen?
Wadau kwenye hii Tecno p5 ya rafiki yangu ile sehemu ya sim management-defaut setting kwenye voice call,video call,messages hizo sehemu zimejifunga kwa hiyo huwezi kubadili chochote mfano unataka...
Habar za wakat huu Wadau.
Nina tatizo kwenye Simu yangu, nikiweka laini ya Airtel inawasha GPS automatically kama nimewasha data na hata nikizima baada ya sek kama 45 inajiwasha tena nimeshindwa...
Wakuu kuna rafiki yangu anasimu tajwa hapo juu ina tatizo kila anapompigia mtu inaleta Ujumbe normal calls are restricted by access control,sasa naomba msaada nitatatua vipi tatizo hill.
Natumai muwazima wapendwa wanajukwaa,
Naomba maelekezo ya kuungaanisha / kufanya wi-fi kuwa active na kuweza kuaccess internet kwenye compyuta,
Kwa kutumia simu aina ya Sony experia z ultra...