Sim management haifunguki

Kabelwa

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
664
176
Wadau kwenye hii Tecno p5 ya rafiki yangu ile sehemu ya sim management-defaut setting kwenye voice call,video call,messages hizo sehemu zimejifunga kwa hiyo huwezi kubadili chochote mfano unataka voice call iwe always.

Naomba msaada wenu wakuu.
 
Back
Top Bottom