Namna ya Kufanya Wi-fi kuwa active

Ziltan

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
2,672
6,872
Natumai muwazima wapendwa wanajukwaa,
Naomba maelekezo ya kuungaanisha / kufanya wi-fi kuwa active na kuweza kuaccess internet kwenye compyuta,
Kwa kutumia simu aina ya Sony experia z ultra.
Natanguliza shukrani.
 
nenda sehemu ya mobile network kwenye simu yako.fungua sehemu ya tethering and Hotspot
weka on.then acha kwa muda wa second 20s.computer yako ita access automatically chini kwenye icon.na itakuonesha kwamba kuna network utaconnect.ama kama ipo automatic itaconnect yenyewe.
 
Mkuu DavidHard nimefanya hivyo bila mafanikio,
Na hii ni baada ya kupiga window chini,
Hii nlioweka imegoma kbs,
Nahis kuna setup zinahitajika. Kwenye PC,
Au?
 
Mkuu DavidHard nimefanya hivyo bila mafanikio,
Na hii ni baada ya kupiga window chini,
Hii nlioweka imegoma kbs,
Nahis kuna setup zinahitajika. Kwenye PC,
Au?

Habari mkuu,

Samahani naomba kuuliza, umepiga chini window ya kompyuta au simu? Kama ni kompyuta Je, baada ya kuweka windows mpya, kile ki alama cha wireless kipo kwenye kompyuta? Unaweza kuunganisha wireless hata kama haupati internet. Tuanzie hapo kwanza ili kujua tatizo ni drivers au kuna kitu kingine.

Shukrani
 
Windows ya compyuta,
Kialama kipo kinaonesha monitor ya desktop yenye alama ya x,
Niwekapo kasa kinatoa msg ya "wireless network connection not connected
 
Nimefanikisha,
Windows haikuwa proper kwa pc,
Ahsanteni sana nyote,
MAY GOD BLESS U ALL.
 
Back
Top Bottom