Msaada Tecno P5 inaandika 'normal calls are restricted by access control' kila nikipiga

Kabelwa

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
664
176
Wakuu kuna rafiki yangu anasimu tajwa hapo juu ina tatizo kila anapompigia mtu inaleta Ujumbe normal calls are restricted by access control,sasa naomba msaada nitatatua vipi tatizo hill.
 
Inawezekana amedisable identity. Yaani amefanya namba yake iwe private
 
Back
Top Bottom