Simu yangu ya iphone 4s haitoi option ya hotspot ninapoweka laini ya halotel, nashindwa kushare na macbook yangu. Naomba msaada kwa anayefahamu namna ya kupata huduma ya kushare network ktk laini ya halotel anijulishe tafadhali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.