Nini maana ya haya maneno.. Android is upgrading.... Optmizing app

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
21,316
50,523
Kila ikizima nikisema niiwashe inaandika hivyo na inakaa muda mrefu
Android is upgrading
Optimizing app
1 to 200
Ina loading mda mrefu ndo iwake hata 30 minutes
TECNO_8H
Ina apps nying
 
*SIMU FEKI KUZIMWA*

*_SHAIRI LA KUWAAGA BAADHI YA WADAU WA KUNDI HILI_*

Twahuzunika kwakweli,
Makamanda wa ukweli,
Kwa kuwaaga kwaheli,
Nunua nyingine rudi.

Hiyo ni kama ajali,
Simu yako si halali,
Kuwa nayo si kibali,
Nunua nyingine rudi.

Inaumiza ni kweli,
Gharama kuikabili,
Simu yako kubadili,
Nunua nyingine rudi.

Hii ndyo serikali,
Meamua kukatili,
Simu ziso na kibali,
Nunua nyingine rudi.

Twakuhitaji kwakweli,
Kwenye kundi letu hili,
Twaliona pengo hili,
Nunua nyingine rudi.

Ndugu wala usijali,
Simu yako kubadili,
Mana si la kujadili,
Nunua nyingine rudi.

Huwezi kupinga hili,
Ni lazima ukubali,
Mana meshika makali,
Nunua nyingine rudi.

Mpendwa kila lakheri,
Kwa ya dukani safari,
Simu feki ni hatari,
UNAWEZA KUZIMIA.
 
Kila ikizima nikisema niiwashe inaandika hivyo na inakaa muda mrefu
Android is upgrading
Optimizing app
1 to 200
Ina loading mda mrefu ndo iwake hata 30 minutes
TECNO_8H
Ina apps nying
Nina Sony Experia Z inatatizo kama hilo, sikumbuki nini kilisababisha. Nahisi kati baada ya kubsdili display au baada ya ku upgrade kwenda lolipop. Nimejaribu kuidowngrade wapi. Nikiwa natumia inaoata moto kisha inajizima. Ukiiwasha ina onyesha adroid is upgrading baadaye ina optimize apps. Inachukua muda kuwaka. Sasa nimei pack sijapata solution yake.
 
Hii kwa kawaida ilianza na Android lollipop, sana sana inatokea ukifanya mabadiliko kwenye system kwa mfano umeupdate Os version, ukinstall security updates, ukiroot simu yako, ukiweka custom recovery tofauti n.k. Sasa ukifanya haya mabadiliko wakati bado kuna apps zipo installed (yani aujafanya format) system itajaribu kuzi "optimize" ili apps zako na hii update (mabadiliko) uliyofanya visikorofishane na kuleta matatizo kwenye matumizi ya simu yako.

Sasa kama hichi kitu kimetokea mara moja, basi hakuna shida lakini kama kinatokea kila ukiwasha simu yako basi kuna tatizo nadhani kutakuwa na app inafanya system level changes kila saa na ushauri wangu kwanza fanya:

1. Fanya Factory Reset, ukimaliza install application kama 4 alafu zima then washa simu yako tatizo kama bado lipo. Fuata step 2

2. Tafuta Rom ya simu yako, flash upya ndio solution itakayokusaidia.

*Steps zote hizo zitafuta data zako.
 
Nashukuru mkuu utakuja, bado sijajua kama hizi hatua zitaondoa pia tatizo la simu kupata joto. Asante
 
Asante kwa kuja mkuu.. Nimepata somo hapa
 
Nashukuru mkuu utakuja, bado sijajua kama hizi hatua zitaondoa pia tatizo la simu kupata joto. Asante

Application zikiwa zinafanya optimization Screen brightness inakuwa set 100% na processor zote zinafanya kazi 100% so joto litakua juu na sijui labda thermal throttling aijafanya kazi au labda una simu yenye Snapdragon 810. Lakini joto litapanda sana nakisababisha ijizime kujipreserve na vifaa visiungue.

But kama nilivyo jibu juu kama factory reset and kuflash rom mpya havisaidii hapo itakuwa a hardware issue.
 
Back
Top Bottom