hebu nisaidieni wadau
Hii PC yangu nilijaribu kuinstall GTA 4 vice city game lakini baada ya Kuinstall hili game nilipojaribu kulifungua linagoma inakuja Meseji ya "not enough video memory"
sasa...
accounts za adsense zinauzwa kwa bei ya sh 10000 kwa kila accounts na kama unataka nyingi i mean zaid ya moja tunaweza kuingia patnership kila baada ya siku 3 nakutengenezea accounts as many as u...
Wadau hivi simu yangu ndo setting haziko poa au coz nikiweka line ya halotel sipati hotspot ili kuweza kutumia net ya simu kwenye laptop, sijajua tatizo ni nini ila natumia iphone 5 au kwa iphone...
My HTC first mobile phone for those who know it has this problem of not able to share internet connection through Tethering and portable hotspot... Although it has all the options except Bluetooth...
Kampuni ya hp baada ya mafanikio makubwa inayopata kwa computer zake (desktop/laptop) pamoja na vifaa vingine kama tablets n.k soon mwezi wa sita watatoa simu yao matata sana inaitwa hp elite x...
Hello Guys...
Am having trouble to remove a write protection on my flash drive.
I have tried changing the attributes, modifying the registry to 0...so if there is anyone who knows any other way of...
Nimehangaika toka asubuh sijafanikiwa kupata solution. nmenunua CABLE YA HDMI ili niwe na connect laptop kudisplay kwenye TV SAMSUNG sijafanikiwa. my laptop ni toshiba c850 windows 7 32 bit ndo...
Enter SIM ME lock code [NP](Attempts remain 10,
INASEMA HIVYO , HYO NI BAADA YA KUWEKA LINE ZOTE 2 NA KUIWASHA INANIULIZA HIVYO ,
NIKIWEKA TIGO TU, HAIULIZI HIVYO.
Msaada wakuu.
Habari wakuu, nimekua nikijaribu kuinstall whatsapp plus, GB etc. Makini hii error imekua ikijitokeza:
App not installed. An existing package by the same name with a conflicting signature is...
Wasalaam.
Mwenye uwezo wa kunisaidia hili tafadhali, nimedownload movie lakini ili kuifungua inanilazimu niwe na password na wametoa na link ambayo kupitia hiyo nitapata password lakini kila...