Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Salama wenzangu na mimi. Naomba mwenye kujua software inayoweza ku convert pdf file kwenda excel anijuze.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Anaeweza kuweka playstore kwenye hiyoo simu na kuifanya ikawa inapandisha 4g maana inayo lakn aipandishii msaada pliz
0 Reactions
5 Replies
1K Views
*#1111# S/W Version *#1234# Firmware Version *#2222# H/W Version *#8999*8376263# All Versions Together *#8999*8378# Test Menu *#4777*8665# GPSR Tool *#8999*523# LCD Brightness *#8999*377# Error...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Niaje wanaJF, naomba ushauri wa kina nifanyaje hii website niliotengeneza kwaajiri ya wafanyakazi wanaobadilishana shida inakuja niongeze nin au nipunguze nn au nifanyaje ili niwezekuwashawishi...
0 Reactions
0 Replies
439 Views
Je unayo Laptop,Tablet Pc,or Smartphone au vyote? Je unajua ukiwa na smartphone au tablet/Phablet huhitaji tena kununua modem ? Ndiyo,inawezekana. Leo nitaeleza jinsi unavyoweza kufarahia...
3 Reactions
51 Replies
12K Views
Wana Jf, naombeni msaada nime attach hapa word doc kuna maneno nataka kuyaedit yananishinda, naeditije na je ni software gani imetumika kutengeneza hayo maneno. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Natafuta desktop yenye not less than core i3 kwa 250,000/=
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Msaada kwa mwenye kujua ntawezaje kudownld apps zenye mb zaidi ya 100 katk simu yangu ya iphone.
0 Reactions
9 Replies
896 Views
Nimekuwa naona post kadhaa humu zikionesha faida wanazopata wenye page za Facebook, Instagram nk kuwa wanapata faida au kunufaika kuyokana na matangazo au viewers wanaotembelea page hizo. Hivyo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
salaam wakuu mimi ni blogger namiliki website yangu nahitaji kuiweka kuwa mtembeleaji wangu asiweze kucopy kama ilivyo bongo5 msaada plz
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nilipost naomba msaada Wa Mozilla Firefox haifunguki na yapata wiki tatu sasa sijapata msaada huo. Kimsingi nimechukizwa sana na kitendo hiki ila Post zenye misaada ya Techno ndo zina comment...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari njema watumiaji wa windowphone sasa kuna VPN japo ilikuwepo muda mrefu ila hii ya sasa kiboko, unachagua hadi nchi utakayo. na kwa mara ya kwanza naweza ona online tv za marekani kama...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu nimekua nikijiunga na Offer ya Kifurushi cha Halotel cha week kwa mda wa miezi 3 sasa na nimekua natumia vizuri tuu Hotspot. Tatizo limeanza Jana nilipokuta kuna mabadiliko ya Vifurushi vya...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Msaada wenu wadau,nimefanya restore ya simu yangu,nimefungua google account mpya..kila nikitaka kudowload application inakataa.Naomba kama kuna app zaidi ya hii aiweke hapa hii imenishinda!
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Naombeni msaada anayeweza jua app inayoweza kucompress movie, folder, music zikapungua ukubwaa iwe kwenye android device au PC. Nimejaribu kugoogle lakini sijafakiwa.
0 Reactions
6 Replies
872 Views
Simu ina mwaka mmoja tangu inunuliwe na Inaoperate vizuri tu. Ila kwa sasa betri yake imeshaanza kuchoka. Naomba kujuzwa kama betri mpya za Hii simu zinapatikana. NB: Nimeangalia kupitia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Welcome To StartMySafari
0 Reactions
0 Replies
572 Views
Ninataka kutengeneza online store nipeni ushauri maana kuna app wakati naipublish kwenye google store mwisho niambiwa niandike url ambayo app hiyo itapatikana yaani online store na mimi sina website
0 Reactions
4 Replies
997 Views
wadau mko poa ? kama kichwa juu kinavyosema mimi kwa upande wangu namashaka na simu za TECNO kwa sababu weng wanaoomba msaada humu jf,fb & whatsapp ni kuhusiana na simu hz ni mara chache kuona...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Msaada kidogo wadau mie sio mtalaamu sana wa laptop ila ila Nina laptop yangu moja yakizamani zamani aina ya Dell Latitude d620 inanisumbua sana battery naweza kupata wapi? Kama utajua na bei...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…