Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Naomba msaada wa kujua sehemu wanapotoa kozi nzuri ya computer maintenance kwa dar es salaam. Nawasilisha.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Waungwana samahani anaejua wapi naweza kuipata hii kickass torrent app ya kudownload movie anisaidie
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mswaki wa dola 400 za kimarekani utakaokusafisha wakati huo huo ukiwa unakupa video za moja kwa moja (LIVE) za kinywani mwako kupitia simu yako. Kampuni ya Onvi inayotengeneza miswaki ya umeme...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari zenu wadau wa jukwaa hili,langu ni moja tu naombeni msaada wa kuswitch 2g kwenye huawei tajwa hapo juu. Nawasilisha Asanteni.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wadau salaam, Nipo hapa natuma attachments kwenye e mail nikisend napata ujumbe huu "To prevent abuse, your message cannot be sent now. If the message contains only a link, please add some text...
0 Reactions
5 Replies
880 Views
Habarini, Camera yangu Powershot A2500 inasumbua lens haifunguki. Ukiiwasha inawaka na kujizima, nimejaribu kufuata yser manual ku-troubleshoot lakini nimeshindwa kabisa kuirekebisha. Powershot...
0 Reactions
0 Replies
524 Views
Je ni namna gani waweza kupata app za Mac kwenye Android phone. Mfano Itune. Kwa anaejua
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wadau naomba msaada wa lisence key ya window 8.1 pro. maana product key yangu 00178-10140-00000-AA515 inaexpire July 5.. natanguliza shukrani @chiefmkwawa na wengineo.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau naamini mpo wazima, nahitaji msaada wenu kwa tatizo la simu yangu huawei y300 ambayo nilii-root. Baada yya rooting imekuwa na Tabia ya kuinstall uc mini bila ridhaa yangu na kila nikipitia...
0 Reactions
0 Replies
635 Views
Nimekuta inauzwa SH. 6,300,000 Naomba msaada kwa wajuzi what is so special katika hii Computer
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima kwenu wandugu. Kutokana na hali ilivyosasa mahitaji ya pc yamekuwa makubwa sana. Mimi ni mmoja kati ya wahitaji wakubwa wa kompyuta (PC). Kwa kuwa nina uhitaji ila siyo mtaalam wa hivi...
0 Reactions
51 Replies
16K Views
Kama simu yako inatumia media tek chip mfano tecno. itel, lenovo, n.k unapata R badala ya 3g hata ukizima option ya roaming download mtk engeneering tools kule playstore then fuata hizi hatua
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naona hii mitandao inaZingua sana na matangazo yao ya 4g kama vile kila simu inasupport. Inawezekana kweli kuhamia 4g kama inavyowezekana kuhamia marshimallow?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Za masiku wakuu, ni siku nyingi sana sijapita jukwaa hili kuanzisha mada zinazohusiana na masuala ya animation/graphics design. Leo nimechepuka kidogo kuwasabahi wakuu wangu. wakati mnapokea...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
FTA...................
1 Reactions
47 Replies
15K Views
Habari wakuu ipi antivirus nzuri na inayofanya kazi ipasavyo katika smartphone zetu
0 Reactions
2 Replies
873 Views
Msaada wakuu..simu yangu inazimika ghafla bila matarajio..angali imejaa chaji na pia situmii external memory..msaada wakuu.lg g flex 2.international model
0 Reactions
0 Replies
578 Views
Ni model gan ya iphone 6 ambayo ina tumika international mana naona kuna models tofaut kutegemea na nchi je model ya kimataifa ni ipi na kaa Tanzania model ina fanya kazi... Mana simu ata kama...
0 Reactions
2 Replies
948 Views
JINSI YA KUJUA SIMU ORIGINO NA FEKI Kabla hujanununa simu mpya hakikisha unaandika namba hii *#06# , itaonyesha namba ya pekee (serial number ) au IMEI (International Mobile Equipment Identity)...
1 Reactions
20 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…