Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Ndugu wadau kwanza habari zenu naomba msahada kwa anayekumbuka kudownload software mpya baada kuamisha position dish la zuku tafadhali
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama unamaitaji ya applications ndogo ndogo za kampuni au.biashara... Nitakutengenezea kwa bei.nafuu... Example Database applications
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Za leo wana jamvi ningependa ni wajulishe hii app ya mobdro inayo kuwezesha kuangalia tv za Europe na marekani online. Ina channels kibao kama MTV base zote una zo zijua ww na channels zengine...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba mnifahamishe jinsi ya kurudisha old window kwenye PC HP coi5, mwanzo nilikuwa natumia window 7pr nika-upgrade to window 10 so naona inanishinda kutumia, naomba maelekezo ili nirudshe window...
0 Reactions
6 Replies
892 Views
Hi guys , lenovo wamezindua simu za ukwelii!! , inakunjika kama saa Yes!!. pia hardware zake kama battery nazo zinakunjika Ni noma... here
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Habari ya Jumamosi wana JF. Miezi miwili iliyopita nilinunua Desktop kwenye duka linaloitwa Alasco Computers lililopo mtaa wa Uhuru Kariakoo. Ndani ya PC waliweka window 8 ambayo ilikuwa ya trial...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, mwenye key za ms office 2013 naomba anisaidie maana lap top yangu nilinunua na wakanifanyia installation ya ms office, sasa inaniletea sms ya kutaka ni activate na bado siku...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ninapo washa PC yangu kile kifeni knazunguka kwa kutoa saut na mda mwngne hakzunguki naomba msaada
0 Reactions
1 Replies
650 Views
Huo ni ujumbe ninaoupata ninapolocate pointer kwenye icon ya battery, sometimes inacharge na sometimes haicharge. Nimejaribu ku-uninstall and ku~reinstall ACPI nikidhani kuwa inaweza kuwa corrupt...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Jamani mimi nina simu yangu aina ya huawei Y530 ina tatizo moja, nikiwa naiwasha ina andika neno huawei alafu ina andika android na ndio mwisho wake aw kuwaka hapo. Msaada wakuu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama kun mtu yoyote mwenye firmware update kwa ajili ya huawei e303h-1 naomba msaada plz.
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Jinsi ya kusoma ujumbe wa Whatsapp kisiri bila ya aliyekutumia kujua kama umesoma ujumbe wake WhatsApp-Last-Seen-Timestamp-on-your-iOS-and-Android-devicesVitiki viwili vya bluu katika Whatsapp...
6 Reactions
27 Replies
17K Views
Wapendwa naomba mnisaidie kwa hilo nihitaji kuhamisha data toka kwenye simu kwenda kwenye pc lakini nikichomeka usb cable inacharge tu na ukienda kwenye setting ya usb imefaint. Karibuni kwa msaada.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wadau natanguliza shukran. kwa yeyyote jukwaani anayeweza kutumia gps ya kwenye simu kupima viwanja basi atupe maujanja. atusaidie namna ya kutambua uwepo wa barabara na open space ktk maeneo...
1 Reactions
12 Replies
9K Views
Wakuu nahitaji kununua moja kati ya simu hizo.... naomba ushauri kuhusu ubora wake plz!!! Ni ipi itakuwa bora zaidi ya nyingine?
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kmspico inayoweza kuactivate almost all versions of windows i.e 7,8,8.10 na all office 2007,2010.2013 na 2016 anisaidie link
0 Reactions
0 Replies
566 Views
wadau simu yangu aina ya samsung galaxy star pro GT 7262 imekuwa haina sehemu ya kubadili mtandao kwenda 3G au 4G zaidi ya mtandao kusoma E mpaka inanikera ila kuna hii sehemu katika cm yng...
0 Reactions
4 Replies
960 Views
jaman naombeni msada wenu juu ya matumiz ya button iliopo upande wa kulia chin ya button ya kuwashia kwenye hz cm za tecno c5 na c8
1 Reactions
2 Replies
1K Views
simu yangu ya tecno h6 kila nkiweka pattern inakataa kufunguka msaada jns ya kuiunlock..
0 Reactions
1 Replies
659 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…