nina simu aina ya s3 neo imecorrupt imei yake na haishiki mtandao inasema no sim found ila simu inasoma lain ukisurvey phonebook. sometimes inasema no registered found. anyone with the knowlegde...
JE UNAYAJUA HAYA ????????????????.. KUMBEE...
1.) GOOGLE - Global Organization Of Oriented Group Language Of Earth.
2.) YAHOO - Yet Another Hierarchical Officious Oracle.
3.) WINDOW - Wide...
Naomben mwenye kufahamu anisaidie kila nikijaribu kucreate samsung account nakutakana na yafatayo
"this divice was provided by employer or via employer saponsered, such as BYOD"(bring your own...
Nimekuwa nikijiuliza swali hili kwa muda maana ninahisi kabisa kuna mtu ananifanyia uhuni huo. Data zangu zinaisha haraka sana, mimi hutumia simu ku connect kwenye laptop kupitia wifi. juzi...
Whatsup na Facebook walitangaza kuwa baada ya muda flani Blackbery 10 zitakuwa hazitumii application zao, tufahamishane Balackbery 10 ni zipi?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Salaam!
Naomba kujua anaeweza kunielewesha jinsi huduma ya maji moto kwenye hoteli kubwa inavyofungwa!
Mfano:- Hakuna valves mbili za ku-control maji (moja maji moto, moja maji baridi)kama...
Habari wanaJF, husuka na kichwa cha habari kinavyosema, natarajia kuanzisha training ya web design and development with affordable price kwanzia tarehe 04 july 2016 . Kama wewe ni mkazi wa dodoma...
za leo ndugu.
husika na kichwa cha habari hapo juu. ningependa kufahamu laptop au desktop ambayo ni nzuri kwa gaming na graphics kwa pamoja.
nataka kuanzisha center yangu kwa ajili ya hio...
Habari za muda huu wapendwa waheshimiwa wa JF.
Nina Jokofu langu lina muda wa takribani miaka minne tangu nilinunue yaani siku hizi ukiliwasha linawaka kama siku mbili au 3 kisha linajizima ...
Habari zenu wana jamii.
Nilikuwa Naomba kupata msaada juu ya hiki kifaa cha power bank.
Nataka kununua power bank.lakini sijui sofa gani nizitumie ili kupata iliyo nzuri zaidi Kwa simu yangu
Wakuu habari za wakati huu.
Nina sim yangu samsung note 3 imegoma kusoma mtandao toka asubuhi. Mtandao wa internet hauna shida inasoma kama kawaida ila sipigi wala kupokea sim.
Kila nikipiga...
Samahani wana JF naomba mnijuze mwenye ujuzi was kuiwekea wimbo picha au kava pale unapouplay uwe unashow picha ambayo unaitaka iwe natanguliza shukrani zangu kwa mwenye hiyo knowledge
Bila shaka malengo ya TCRA yameshindwa kufikiwa ama ujanja wa Wachina katika kutengeneza Simu feki ni mkubwa kuliko walivyofikiri TCRA
Bila shaka TCRA walikuwa wakibaini simu fake kwa kuangalia...
Wana JF,
Poleni na majukumu ya siku nzima, jamani simu yangu nokia XL inakataa program ya whatsapp na kila niki install inakata kufunguka inaniambia kuwa device is not supported. Naombeni msaada...
Nina Huawei tajwa hapo juu.
Tatizo lake ilianguka na ukiiwasha inawaka, nembo ya Huawei inatokea na haimaliziki inajirudiarudia, au inawaka vizuri.
Baada ya sekunde kadhaa inapoyeza kumbukumbu...
Habar wakuu,
Naomba msaada kwa yeyote anayejua jambo ili la kuupdate software ya samsung galaxy s3, model SHV-E210S, android version yake kwa sasa ni 4.3.
Nimejalibu mala ya kwanza imenletea...