Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Jaman matechnician naomba msaada wa kuweza kuifungua / unlock HUAWEI Y3II Ili niweze kuenjoi laini zote kwani nateseka sana na kutumia laini walioikusudia. Naomba kuwasilisha
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimejaribu njia nyingi za kuroot hii simu bila mafanikio nilianza na hiyo kingroot sim inajiRestart tu na nikijaribu desktop version simu bado inajirestart nijaribu njia ipi? Kila njia nikijaribu...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wanajamii habari ya kwenu naomba mnisaidie jinsi ya kuondoa root kwenye sim , niliroot kwa kingroot sasa naona inasumbua sana simu inapoteza poteza sana inazima mara inawaka
0 Reactions
1 Replies
782 Views
Offer ya microsoft ya kupata Windows 10 ya bure inaisha wiki hii, baada ya hapo bei zitaanzia $120 kwenda mbele kwa kila PC. Inapatikana hapa How to Upgrade to Windows 10 - Microsoft Upgrade...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa anaejua application inayoweza kuplay music wakati ukiwa unaongea na simu kwa muda huo huo yan(while calling),na pande zote mbili ukawa unasikika,kwa upande wa mpigaji na mpigiwa, msaada wako...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
natanguliza shukrani wakuu natumia window 7 professional (version 6.1.7601) inataka activation key nikifungua window kanakuja kameseji ka window activation wizard alafu inaandika this copy of...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu, naomba kufahamu Kama kuna app ya kublock call, ambayo akipiga simu isipatikane kabisa na Siyo itoe notification ya kwamba simu inatumika Kama app Zingine zinavyofanya.
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari wakuu natumai mwaendelea vyema na shughuri ya kujenga taifa letu ni ivi wakuu naomba msaada wa apps aina mbalimbali na games za kijanja niinjoy hii simu natanguliza shukrani wakuu
0 Reactions
3 Replies
927 Views
nitawezaje kudownlod app ya beat maker kwenye simu yangu kama inawezekana kupakua kwenye simu naomba nifahamishwe
0 Reactions
1 Replies
723 Views
Hey guys, today i decided to start making screen-casts mostly targeting swahili speakers, i am not very good speaking especially tech in Swahili so nimechanganya lugha kidogo lakini point is i...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimenunua iPad Mpya nahitaji niweze create ila inazingua email mwenye kujua jinsi ya kuweka email msaada tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Nikola Tesla was killed for these notes,killed by JP Morgan probably.His notes were read and that is how the new world order has become such a great force.Tesla laid the groundwork for creating...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Domain ya ,com,net kwa sh 17,000 tu,pia hosting imepunguzwa mpaka 50,000/= kwa mwaka baada ya 60,000/= Tuwasiliane kwa 0687 535650
0 Reactions
0 Replies
645 Views
Hivi kuna njia ya kuongeza signal kwenye decoder kama ipo mbali na dish mfano mita100???? Maana ikiwa karibu signal nyingi
0 Reactions
3 Replies
862 Views
Wadau Nina smartphone ya itel inapandisha mtandao inapojisikia yenyewe naombeni msaada wenu nifanyaje?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ninahitaji msaada kwa anayefanya biashara ya Used computers naomba uniambie kama unahusika nazo Jumla au rejareja. nitakucheki inbox. au kwa email: ymollel@gmail.com
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo. Ninataka kununua laptop kwa ajili ya shughuli zangu za kimasomo ikiwa pia ni pamoja na kutunza documents zangu muhimu. Je, laptop ipi inanifaa? Aina ya Laptop: HP...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Salaam jf. Ninatatizo katika kioo cha dell 18inch, baada ya kununua external tv box (kifaa kidogo kama deki chenye kazi ya kuonyesha video ktk monitor ya pc) sasa katika kioo kinaleta analog input...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tablet imepata tatizo hivi karibu kila nikifungua App ya YouTube tablet ina jizima na kujiwasha. Hili tatizo limeendelea siku 3 ghafla Jana nimefungua YOUTUBE ikasumbua na kujizima lakini kitu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
I have an android tablet jelly bean, I bought it 2 months ago and it was working fine until recently when it started acting weird as it keep turning off itself and showing inconsistent battery...
0 Reactions
2 Replies
788 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…