Msaada

Msaada

Jeorpa

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
372
Reaction score
223
Hivi kuna njia ya kuongeza signal kwenye decoder kama ipo mbali na dish mfano mita100???? Maana ikiwa karibu signal nyingi
 
unatumia waya gani? rg59 au rg6?


ukiwa na huo mnene signal hazitapotea sana
 
Mi natumia nyeus ila sio nene sana
 
Back
Top Bottom