Kwa ili, application inayofaa ni ipi??

baba terry

Member
Jul 25, 2016
24
4
Kwa anaejua application inayoweza kuplay music wakati ukiwa unaongea na simu kwa muda huo huo yan(while calling),na pande zote mbili ukawa unasikika,kwa upande wa mpigaji na mpigiwa,
msaada wako wa dhati unahitajika,kwa kutaja jina la application au hata link kama inawezekana,
 
Kuna baadhi ya simu music app zake zina nguvu ya kufanya hivyo mfano nlikua natumia nexus4 ya samsung kipindi cha nyuma ilikua inauwezo wa kupiga mziki nikiwa naongea na mie na ninae ongea nae tukausikia
 
Nenda playstore au google music call player.. Utaona ina jna la jaydi..iyo itakufaa mkuu.
 
Kuna baadhi ya simu music app zake zina nguvu ya kufanya hivyo mfano nlikua natumia nexus4 ya samsung kipindi cha nyuma ilikua inauwezo wa kupiga mziki nikiwa naongea na mie na ninae ongea nae tukausikia
nimekupa sana mkulu,,inayoitajika kwa sasa ni application ya kudownload kwenye Android kiongoz
 
Chief sijawai ona unaongelea vibaya symbian. Nadhan symbian ilikua moja ya os bora sana kwako
yap bora kushinda os yoyote kwangu, zipo apps nyingi sana kwangu za symbian huzipati kwenye os za kisasa za leo
 
Back
Top Bottom