Root needed for Huawei Y3ii kutoka Tigo

Elvicepride

JF-Expert Member
Apr 8, 2013
243
65
Nimejaribu njia nyingi za kuroot hii simu bila mafanikio nilianza na hiyo kingroot sim inajiRestart tu na nikijaribu desktop version simu bado inajirestart nijaribu njia ipi?
Kila njia nikijaribu matokeo ni root failed au inajiRestart.
 

Attachments

  • Screenshot_2016-07-28-17-37-05.png
    Screenshot_2016-07-28-17-37-05.png
    11.1 KB · Views: 69
ukiona hivyo pengine bootloader yake wameifunga, sababu ni simu mpya subiria baadae watapata tu upenyo
 
ukiona hivyo pengine bootloader yake wameifunga, sababu ni simu mpya subiria baadae watapata tu upenyo

Hii button nimeiweka on inamaana gani
"OEM unlocking"
"Allow the bootloader to be unlocked"

Maana nimejaribu kuiweka on lakini bado imeFail?
 

Attachments

  • Screenshot_2016-07-30-12-15-46.png
    Screenshot_2016-07-30-12-15-46.png
    28.3 KB · Views: 53
mpaka huawei wenyewe waruhusu au mtu atafute namna ya kubypass
Nimeona hadi kuomba unlock keys za bootloader kwenye manufacture website labda na wangetoa official stock firmware yake ingekuwa vizuri zaidi incase sim ikizingua, ngoja nisubiri
 
Solution ya ku-unlock ni mpaka upate unlock code toka huawei.. Hio ndio njia official., pia unaweza ukatumia gsm boxes kama nck,zzkey,
 
Back
Top Bottom