Wiki ya mwisho kupata Win 10 ya bure!

Wiki ya mwisho kupata Win 10 ya bure!

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,694
Reaction score
2,588
Offer ya microsoft ya kupata Windows 10 ya bure inaisha wiki hii, baada ya hapo bei zitaanzia $120 kwenda mbele kwa kila PC.

Inapatikana hapa How to Upgrade to Windows 10 - Microsoft

Upgrade hii ni kama 3 GB so hakikisha una bundle ya kutosha, night bundle zinahusika hapa.

Fanya backup ya mafaili muhimu kabla ya upgrade yoyote, although upgrade haitakiwi kuharibu mafaili hauwezi kujua nini kitatokea.

Kama una laptop ni vizuri kugoogle full model number yako na Windows 10 kuona wenzako kama wamepata shida yoyote katika upgrade e.g. "Acer Aspire 12345G Windows 10"
 
Asante kwa taarifa. Hii ni upgrade au ni full package?
Ni upgrade inabidi uwe na windows 7 SP1 at least, ila unachopata mwishoni ni full Windows 10 haina tofauti na kuinstall upya.
 
Ni upgrade inabidi uwe na windows 7 SP1 at least, ila unachopata mwishoni ni full Windows 10 haina tofauti na kuinstall upya.
Mkuu, we umeshadownload kwenye flash au hdd? Naona sipati direct link...
 
Kwa kweli niliipeenda w7 ila kwa sababu w10 ndo kila kitu.. Too personalizable
 
Hiv kwel kuna mtanzania wa kununua windows kwa 120usd, binafsi ntaendelea kudownload mpaka mwisho wa maisha
 
Hiv kwel kuna mtanzania wa kununua windows kwa 120usd, binafsi ntaendelea kudownload mpaka mwisho wa maisha

Kuna dalili kuwa hiyo itakuwa ngumu kwenda mbele, nadhani njia pekee inayofanya kazi ya kuiba Win10 mpaka sasa ni ile ya siku 180 kwa wakati, hakuna full activation iliyogundulika.

Au uinstall Win 7 uicrack kisha ufanya upgrade, ila mwisho wa mwezi hii itazimwa kwa ninavyoelewa.
 
Back
Top Bottom