Msaada tablet aina ya Lenovo

Msaada tablet aina ya Lenovo

ivunya

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2015
Posts
2,290
Reaction score
2,230
Tablet imepata tatizo hivi karibu kila nikifungua App ya YouTube tablet ina jizima na kujiwasha. Hili tatizo limeendelea siku 3 ghafla Jana nimefungua YOUTUBE ikasumbua na kujizima lakini kitu kinacho nishangaza Sasa hivi tatizo limekuwa kubwa tablet nawasha linatokea neno la Lenovo inaganda baadaye inajizima na kujiwasha.
Nimejaribu kubonyeza kwenye volume Kuna kitu kikatokea ni select
Recovery mode
Fastboot mode
Normal mode
Msaada kwa mjuzi wa hivi vifaa
 
Nimefanikiwa kuwasha kwa kubonyeza volume up-down kwa pamoja .
 
-recovery hio ni sehemu ya kunusuru kifaa chako unaweza futa vitu vyote na kuanza upya, unaweza kufuta cache, unaweza flash mambo madogo madogo kama modem, kernel, etc
-fastboot hii ni alternative ya recovery sema unaweza flash mambo mengi zaidi ya recovery. hapa utaweza flash simu nzima (kama unaipeleka kwa fundi kuflashiwa wanatumia hapa)
-normal mode hii ndio kawaida tablet inawaka

ushauri kama tatizo linaendelea hifadhi mambo yako muhimu ya kwenye hio tablet halafu ingia hapo recovery wipe data na cache halafu rudisha mambo yako uone kama tatizo litaisha.
 
Back
Top Bottom