Samsung galaxy note3

Samsung galaxy note3

ngakotecture

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2014
Posts
2,857
Reaction score
3,230
Habari wakuu natumai mwaendelea vyema na shughuri ya kujenga taifa letu ni ivi wakuu naomba msaada wa apps aina mbalimbali na games za kijanja niinjoy hii simu natanguliza shukrani wakuu
 
Ingia Playstore kwenye cm yako utapata kila kitu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom