Msaada: Laptop yenye specifications hizi

Msaada: Laptop yenye specifications hizi

Beauty Eva

Senior Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
131
Reaction score
374
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo. Ninataka kununua laptop kwa ajili ya shughuli zangu za kimasomo ikiwa pia ni pamoja na kutunza documents zangu muhimu.

Je, laptop ipi inanifaa?

Aina ya Laptop: HP
Hard Disk: 500GB
Processor: 1.9GHZ
RAM: 4GB

Nyingine ni:-
Aina ya Laptop: HP
Hard Disk: 1TB
Processor: 1.6GHZ
RAM: 4GB
 
hio 1.9ghz na 1.6ghz ni aina gani? zinaandikwa mfano i3, i5, i7, a10, a8 nk
 
Haijalishi aina ya processor.. Mi naona zote zinafaaa suala na uwezo wako wa kifedha tu.. Ila kama mimi die hard wa movie ningechukua yenye 1tb
 
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo. Ninataka kununua laptop kwa ajili ya shughuli zangu za kimasomo ikiwa pia ni pamoja na kutunza documents zangu muhimu.

Je, laptop ipi inanifaa?

Aina ya Laptop: HP
Hard Disk: 500GB
Processor: 1.9GHZ
RAM: 4GB

Nyingine ni:-
Aina ya Laptop: HP
Hard Disk: 1TB
Processor: 1.6GHZ
RAM: 4GB

bila hata kwenda kuuliza ndugu, hiyo ya 1.6Ghz ni celeron dual core na hiyo ya 1.9Ghz ni Pentium dual core. Kati ya hizo bora hiyo ya 1.9Ghz
 
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo. Ninataka kununua laptop kwa ajili ya shughuli zangu za kimasomo ikiwa pia ni pamoja na kutunza documents zangu muhimu.

Je, laptop ipi inanifaa?

Aina ya Laptop: HP
Hard Disk: 500GB
Processor: 1.9GHZ
RAM: 4GB

Nyingine ni:-
Aina ya Laptop: HP
Hard Disk: 1TB
Processor: 1.6GHZ
RAM: 4GB

Upo chuo gani?
 
Back
Top Bottom