Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,538
Salaam jf.
Ninatatizo katika kioo cha dell 18inch, baada ya kununua external tv box (kifaa kidogo kama deki chenye kazi ya kuonyesha video ktk monitor ya pc) sasa katika kioo kinaleta analog input cannot display this video mode. But kwenye vioo vengine kinaonyesha, nimetest vitu vyote vinafanya kazi hofu yangu labda kioo kitakuwa hakikubali resolution ya tv box. Je kuna kifaa kingine cha kununua kwa ajili ya monitor kufanya kazi?