Ticktock dork
JF-Expert Member
- Dec 23, 2015
- 466
- 306
Wadau Nina smartphone ya itel inapandisha mtandao inapojisikia yenyewe naombeni msaada wenu nifanyaje?
Ushahido unao?Itel zinafeli sana ktk Network sio cm nzur bora Tecno hiyo Itel ina tatizo la nguvu za Mtandao
Err, ushahidiUshahido unao?